Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood
Akitoa maagizo kwa Mtendaji wa Kata ya Konga Kutafuta Eneo la Ujenzi wa Shule
Hiyo haraka Iwezekanavyo.Mh Abood amemuagiza Mtendaji huyo ndani ya mwezi Mmoja
wa amepata Eneo la Ujenzi wa Shule na Ujenzi Uanze Mara Moja Ambapo Mh Mbunge
Amechangia Shilingi Milion 5 za Kuanza Ujenzi Huo .
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood
Akiongea na Wato wa Kata ya Kauzeni mara baad ya Kuwasili katika Kata hiyo
kwajili ya Kusikiliza Kero Zinazowakabili wakazi wa Kata Hiyo.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya kauzeni walioudhuria
Mkutano ulioitishwa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood
Akisisitiza Jambo wakati akielezea Namna ya Kutatua Kero kubwa ya Maji
Inayowakabili wakazi wa Kata ya Kauzeni Iliyopo Manispaa ya Morogoro Ambapo Mh
Aziz Abood Ametoa Million 5 Kwajili ya Kutekeleza Mradi wa Maji wa Kata Hiyo
Ili Kutatua Kero Hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood
Akitoa Onyo wa Watendaji wa Kata za Jimbo la Morogoro Mjini Kutumia Fedha
Zinazoletwa katika Kata Hiyo kwa Maendeleao ya wananchi lasivyo Watakiona kwa
wale watakaofuja Fedha za Wananchi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment