Watoto
wanne wakazi wa wilaya ya M binga wamenusurika
kufa baada ya kulipukiwa na vifaa vya
kulipulia miamba walivyoviokota
jalalalani na kuvi unganisha na
betri ili wapate mwanga,
lakini badala yake ukatokea mlipuko
mkub wa ulioleta taharuki kwa watu
waliodhani ni mlipuko wa bomu.
M
lipuko huo umejeruhi watoto hao
wanne ambao wawili wanapatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya M binga na
wengine katika hospitali ya mkoa wa R uvuma .
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi MIHAYO MSIKHELA amewataka wananchi pindi wanapoviona vitu wanavyovitilia ma shaka watoe taarifa katika ma mlaka husika na kwamba jeshi la polisi linafanya uchunguzi ku baini waliotupa
vifaa hivyo, ili wachukuliwe hatua za
kisheria.
Wakati
huo huo Jeshi laPolisi mkoani S ingida limeamua kuwashikisha
wataalamu wa mabomu wa Jeshi la
Ulinzi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ
kuchunguza na kubaini kitu kinacho sadikiwa kuwa bomu ambacho kilimlipukia Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya I ramba HALIMA MPITA .
K
amanda wa Polisi wa mkoa
wa S ingida Kamishna Msaidizi wa
Polisi THOBIAS SEDOYEKA amesema
tukio lilitokea jana baada ya mkurugenzi huyo
kupewa z awadi ya mwaka mpya kutoka kwa Katibu M u h tasi wake aliyoipokea
kutoka kwa aliowaita wadau wake.
A
mesema baada ya kupeleka zawadi hiyo
aliyokabidhiwa Desemba 30 2014,
nyumbani na kuifungua jana
alikuta ujumbe uliosema pole sana
hatuwezi kufan y a dili ya
shilingi milioni tisini halafu
ukala peke yako sisi ukatudhulumu na tukuache
tu.
Amesema jeshi hilo halijamkamata mtu aliye hus ika na tukio hilo na
uchunguzi una endelea kuwabaini walio
husika ili wachukuliwe hatua za sheria.
0 comments:
Post a Comment