Waziri wa usalama wa Kenya Bw. Joseph
Nkaissery jana amesema, Kenya itasajili silaha haramu katika maeneo ya mipakani
ambazo hutumika katika mashambulizi.
Akizungumza mjini Nairobi, Nkaissery amesema,
kuenea kwa silaha ndogo ni hatari kubwa kwa usalama wa nchi hiyo.
Amesema kuwa, changamoto za usalama
zinazoikabili Kenya ni mambo yanayofuatiliwa sana, na serikali itafanya kila
iwezalo kuhakikisha usalama wa kutosha na kuhakikisha mazingira yenye usalama
kwa biashara na uwekezaji.
0 comments:
Post a Comment