Watanzania wametakiwa
kutambua kuwa kama wataweza kupiga vita tatizo la rushwa na kuondoa
mizizi ya yake kwa kuchagua viongozi bora watakaowajali wananchi wake, Tanzania
itakuwa na mabadiliko makubwa ya kiuchumi kuanzia mwananchi wa hali ya
chini.
Kauli hiyo imetolewa na
waziri mkuu mstaafu awamu ya tatu Mhe Fredrick Sumaye wakati akizungumza na
wanachuo, mameneja wa taaisi za mabenki, wakuu wa vyuo vilivyopo mkoani Tabora,
pamoja na wanavyuo hao ambapo amesema kuwa, Tanzania bado changamoto ya
ubinafsi mkubwa ambapo waliopo madarakani kuwakumbua walio chini ni kazi kubwa.Taarifa zaidi bofya hapa kujua>
Je, juhudi za Serikali zimesaidia vita dhidi ya rushwa?>>http://www.itv.co.tz/news
Miaka ya
hivi karibuni Tanzania imechukua hatua za kupambana na rushwa. Sheria ya
kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007 iliongezea mamlaka taasisi ya
kuzuia na kupambana na Rushwa(TAKUKURU) TAKUKURU imepanuka kwa kiasi kikubwa
tangu kuanzishwa kwake>http://twaweza.org/uploads/files/Corruption-KIS-FINAL.pdf
0 comments:
Post a Comment