Hannah Winterbourne, 27, mwanajeshi aliyezaliwa
mwanaume na kutumikia jeshi la Uingereza kama mwanaume, sasa ameamua kujibadili
jinsia na kuwa mwanamke.

Kapteni huyo wa Kikosi cha Malkia ambaye ni Mhandisi wa Umeme na Makenika alianza kuishi kama mwanamke baada ya kurejea kwenye posti yake mpya huko Catterick Garrison in North Yorkshire.
0 comments:
Post a Comment