Wanawake arobaini
na tano wamepoteza maisha wakati wa kujifungua katika hospitali ya wilaya ya
manyoni kwa kipindi cha mwaka
elfu mbili na kumi na mbili hadi elfu mbili na kumi na tatu kwa sababu
mbalimbabali
Mratibu wa afya ya mama na mtoto wa
halmashauri ya wilaya ya manyoni, Bi. Hapiness Mazala amesema vifo vya akina
mama wajawazito wakati wa kujifungua vilivyotokea katika kipindi cha miaka
mitatu.
Amesema kati ya akina mama hao arobaini na
tano waliopoteza maisha
wakati wa kujifungua ,kumina tano kati
yao walipoteza maisha yao mwaka elfumbili na kumina mbili,wakati kwa
mwaka eilfu mbili na kumina
tatu akina mama kumina sita
na mwaka elfumbili na
kumina nne ni akina mama kumina
nne walipoteza maisha .
Hata hivyo
alifafanua pia kwamba katika kipindi cha kuanzia mwaka elfumbili na kumina mbili hadi
mwaka elfu mbili na kumina
nne jumla ya akina mama
miamoja na sita walipatiwa huduma za kujifungua kutoka kwa wakunga wa
jadi,ambapo kati yao thelasini na tano walijifungua
mwaka elfu mbili na kumina tatu na
mwaka jana ni akina mama sabini na moja walijifungulia
kwa wakunga hao wa jadi.
Kwa mujibu wa madhara kati ya
wakunga wa jadi miamoja
arobaini nanne na waganga
wa jadi mianne sitini na nne waliopo
katika wilaya ya manyoni
,waliosajiliwa ni wakunga kumi tu na waganga wa jadi waliosajili ni miamoja hamsini nanane , jambo ambalo
ni hatari kwasababu baadhi ya wanganga wa jadi na wakunga wa jadi ina kuwa
vigumu kuwapata pindi matatizo yanapo tokea wakati wa kutoa huduma zao
0 comments:
Post a Comment