Taasisi ya kuzuia na
kupambana na Rushwa nchini Tanzania TAKUKURU imewaburuza mahakamani baadhi ya watuhumiwa wawili wanao kabiliwa na
Kashfa ya uchotwaji Fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow Kisutu Kisutu Jijini Dae
es Salaam
Waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam
ni Mhandisi TEOFILI JOHN kutoka Wizara ya Nishati na Madini ambaye anakabiliwa
na kosa la kupokea rushwa ya shilingi milioni 161.
Alipokea fedha hizo sehemu ya akaunti ya Tegeta Escrow kutoka kwa
JAMES RUGEMARILA yeye akiwa msimamizi wa mradi wa mpango wa umeme vijijini.
Mtuhumiwa wa pili ni Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi Bwana
RUGWENZIBA TEOFILI aliyepokea shilingi milioni 300 kwa ajili ya kusimamia kesi
za IPTL.
Endelea kutufuatilia tutakujuza kila Hatua.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment