Mtu mmoja amekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya
NGUMUO walilokuwa wakisafiria kutoka MOSHI kwenda KAHAMA mkoani
SHINYANGA kugongwa na lori na kusababisha basi hilo kuacha njia na
kupinduka.
Kamanda wa Polisi mkoa wa SINGIDA, THOBIAS SEDOYEKA amethibitisha kutokea kwa ajili hiyo ambapo ametaja chanzo cha ajali
Majeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa na wengine wamepatiwa matibabu na kuruhusiwa .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment