Balozi wa China hapa
nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa
habari (Hayupo pichani) wakati wa kujadili mustakabali wa uandaaji wa mkutano
wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika
kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto,
mkoani Arusha. (Kushoto) ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Mazingira) Mhe. Stephen Masele ambaye ni mwenyekiti wa maandalizi ya mkutano
huo.
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu
Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo
kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China
unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa
Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
0 comments:
Post a Comment