Madaktari vijana wahimizwa kubobea katika magonjwa ya ngozi
Mmoja wa waratibu wa Semina ya madaktari kuhusu magonjwa ya ngozi, Jesinta Mboneko, akimkaribisha mmoja wa washiriki hiyo, Muuguzi katika hospitali ya Mbezi Medical Clinic inayojishughulisha na magonjwa hayo, Sarah Nyabhenda, kwenye ukumbi wa semina hiyo katika hoteli ya Protea Cortyard, Upanga jijini Dar es Salaam, jana jioni.
Baadhi ya washiriki wakianza kuingia kwenye semina hiyo
Mkuu wa Idara Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili (MUHAS), Dk. Denis Russa akiwakaribisha washiriki kwa ajili ya kuanza rasmi semina hiyo
Mratibu Kiongozi wa semina hiyo, Mkurugenzi wa Mbezi Medical Clinic, Dk. Venant Mboneko akitoa maneno ya utangulizi kabla ya mtaalam wa magonjwa ya ngozi, kuanza kutoa mada kwenye semina hiyo
Dk. Ranindra Babu kutoka nchini India, akitoa mada kuhusu maradhi ya ngozi yalivyo na tiba zake, wakati wa semina hiyo ya madaktari kuhusu ugonjwa huo, kwenye hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, jana.
Dk. Ranindra Babu kutoka nchini India, akitoa mada kuhusu maradhi ya ngozi yalivyo na tiba zake, wakati wa semina hiyo ya madaktari kuhusu ugonjwa huo, kwenye hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, jana
Mgeni rasmi katika semina hiyo, Dk. Neema Rusibamanyika Mkurugenzi (katikati) kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. akifuatilia mada wakati Dk. Babu akiendelea kuelezea kwa kina
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada
Mratibu wa semina hiyo, Jesinta Mboneko akifuatilia hali ya mambo kwenye semina hiyo
Mgeni rasmi katika semina hiyo, Dk. Neema Rusibamanyika kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akizungumza baada ya kumsikiliza mtoa mada. Dk. Neema amewashauri madaktari vijana, kubobea pia katika kutibu magonjwa ya ngozi kwa sababu licha ya kwamba si miongoni kwa magojwa yanayotishia uhai wa binadamu kwa kiwango kikubwa lakini yana madhara mabaya sana kwa binadamu. Amesema, madaktari wengi hawakimbiliii kujiunga na fani ya tiba ya magonjwa ya ngozi kwa kudhani pengine si muhimu sana kuliko magonjwa mengine ndiyo sababu madaktari waliobobea katika tiba hiyo ni wachache ikilinganishwa na walioko kwenye tiba ya magonjwa mengine.
Mratibu Kiongozi wa Semina hiyo Dk Mboneko na mtoa mada Dk. Ranindra Babu wakimsikiliza mgeni rasmi.
Dk.Mboneko akitoa neno la shukrani kwa waalikwa wote ambao waliweza kuhudhuria semina hiyo na kusikiliza mada kwa makini
Dk. Mboneko akimpa zawadi ya saa Mgeni rasmi baada ya semina
Dk. Mboneko akiendelea kutoa zawadi kwa baadhi ya wawakilishi kutoka Hospitali na vitengo mbalimbali waliohudhuria

Dk. Mboneko akiwa na mgeni rasmi wakati mgeni huyo akijiandaa kuondoka ukumbini
Jesinta Mboneko akimsindikiza mgeni rasmi
Dk. Mboneko akizunguza na mwandishi wa ITV kueleza maudhui ya semina hiyo
Baadae washiriki wakawa kwenye Cocktail party baada ya semina
Wakichangamsha kinywa baada ya semina
Wakipata vinywaji baada ya semina
Wakipata vinywaji na kubadilishana mawazo baada ya semina
Wakibadilishana mawazo na kupata vinywaji baada ya semina
Dk. Mboneko akibadilishana mawazo huku wakipata vinywaji na mmoja wa washiriki wa semina hiyo
Washiriki wa semina wakipata vinywaji kwenye Cocktail party hiyo
Dk. Mboneko akiwa na baadhi ya washiriki
Dk. Mboneko na Dk. Babu wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wote wa semina hiyo. Picha zote na Bashir Nkoromo.
0 comments:
Post a Comment