Kauli hiyo imesemwa na viongozi wa madhehebu ya dini na mila katika k ikao cha kujadili amani kinacho endelea Jijini Arusha na kuhusisha viongozi wa dini mila serikali na vyombo vya dola .
Kwa upande wake Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu ,Jaji AGUSTINO RAMADHAN a mesema kukosekana kwa amani siyo tu kunasababisha vurugu na vita pekee ,bali ina sababisha masuala mazito zaidi ya hayo .
Nao viongozi wa mila wamesema wamejitahidi kutimiza wajibu wao katika kufani ki sha uwepo wa amani na kuitaka Serikali iwape ushirikiano katika kufanikisha a zma hiyo ili itekelezwe kwa vitendo .
0 comments:
Post a Comment