Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimkaribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati
(Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
wageni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Pierre Nkurunzinza kwenye ukumbi
wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa
Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika
leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central
Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda
wakisiliza maelezo toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw.
Rished Bade walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa
moja katika bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya pamoja na mawaziri wa Tanzania,
kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor
Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
0 comments:
Post a Comment