Binadamu
kwa Serikali ya Malawi ikiwa ni msaada wake kwa wahanga wamafuriko yaliyotokea
nchini humo mwezi Januari mwaka huu na kusababisha maafa makubwa.
Msaada
huo umekabidhiwa hivi karibuni na Mhe.Patrick Luciano Tsere,Balozi wa Tanzania
nchini Malawi kwaniaba ya Serikali ya Tanzania na kupokelewa na KatibuMkuu na
Kamishna wa Idara ya Maafa,Bw.Paul ChiunguzenikwaniabayaSerikaliya Malawi.
Aidha,msafarauliopelekamsaadahuokutokaJeshi
la Wananchiwa Tanzania (JWTZ), uliongozwana
LuteniKanali B.B.Kisinda.
Katika
hotuba yake fupi wakati wa makabidhiano,Balozi Tsere alisema kwamba msaada huo
umetolewana Tanzania ikiwa ni agizo kutoka kwa Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania kutokana na kuguswa kwake na maafa hayo
makubwa na pia kuitikia wito uliotolewa na Rais wanchi hiyo Mhe.Prof.Arthur
Bingu Mutharika kwa Jumuiya ya Kimataifa na watu mbalimbali wenye
uwezokutoamsaadakwawahangahaowamafuriko.
Aidha,
Balozi Tsere alieleza kwamba,Malawi na Tanzania ni nchi jirani, marafiki na zinazo
shirikiana katika masuala mbalimbali ikiwemo majukwaa ya kimataifa kama vile
Jumui ya yaMaendeleo ya Nchi za Kusini mwaAfrika (SADC),Umoja wa Afrika(AU) na
Umoja wa Mataifa.
“Hivyo,kwa
kutambua mahusiano hayo ya ujirani mwema na udugu baina ya nchi hizi na watu
wake,Tanzania imeona ni jambo jema kushirikiana na jirani yake katika kupunguza
athari za maafa hayokwa wahanga hao kwani siyo vyema kuona jirani yako amepatwa
na matatizo na kisha unakaakimya”alisemaBaloziTsere.
Mhe.Tsere
aliongeza kwamba ingawam saada huo hautoshelezi kutatua tatizo hilo kabisa bado
utaweza kusaidia wahanga hao na kupunguza tatizo lililopo kwa kiasi Fulani.
Malawi
ilikumbwa na mafuriko mwezi Januari mwakahuu.
Mafuriko
hayo yalisababisha maafamakubwa ikiwemo watukupotezamaisha, nyumba kuharibiwa
na mazao mashambani kusombwa na maji.
Kwa
hivi sasa familia katika maeneo yaliyo kumbwa na mafuriko hayo hazinamahali pa
kuishi na zinahitaji msaada wa chakula na kumekuwa na magonjwa ya mlipuko
katika maeneo hayo kama vile kipindupindu.
IMETOLEWA
NA: WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, DAR ES SALAAM.
27
MACHI, 2015
0 comments:
Post a Comment