Shirika la Afya Duniani limetaka
dunia kuungana katika mkakati wa kuangamiza
katika kipindi cha miaka ishirini ijayo ugonjwa wa kifua unaoua
watu Mililioni 1 na
Laki-5 kila mwaka.
Kauli yake imekuja wakati wa
maadhimis ho ya Siku ya Ukoma Duniani kwa
kuangazia moja ya changamoto kubwa za afya duniani na kauli mbiu ya mwaka huu ni kuwafikia na kuwatibu watu
milioni tatu wanaoshindwa kutibiwa
kila mwaka.
Kwa mujibu wa shirika la afya
duniani kila mwaka watu milioni tisa
wanaambukizwa ugonjwa na wengine
Milioni 1 na Laki-5 wanakufa kuonesha tishio la ugonjwa huo unaozidi kuendelea bila
kuzuiliwa.
Kwa sababu hiyo Umoja wa Mataifa,
wabia wa k uzuia ugonjwa huo na Shirika la
Afya Duniani wanataka serikali zote duniani na mashirika ya afya, wabia wa kupambana na ukoma na shirika la afya d
uniani kuhamasisha dhamira ya siasa na kijamii katika kuelekea kutokomeza
ugonjwa huo kama mzingo wa afya kwa
umma.
0 comments:
Post a Comment