Mzunguko huo huanzia katika
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Nchini Tanzania na kuishia katika Hifadhi ya
Taifa ya Masai Mara nchini Kenya.
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti, WILLIAM MWAKILEMA
akizungumza katika mahojiano maalum amesema
wanyamapori hao na hasa Nyumbu wameshindwa kuhimili hali ya ukame na uhaba wa
malisho katika maeneo mengi kutokana na mvua kunyesha bila mpangilio.
Bwana MWAKILEMA pia amesema tatizo la kuathirika kwa mzunguko
wa Nyumbu pia linatarajiwa kuathiri kwa kiasi fulani shughuli za utalii katika
hifadhi hiyo maarufu duniani.
0 comments:
Post a Comment