Image
Image

Rais Kikwete akutana na Rais mstaafu wa marekani Bill Clinton jijini Dar es Salaam Leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kisha kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam leo April 28, 2015.
Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini  kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiliwa na taasisi za Clinto Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment