Kutokana na ubovu
huo wa bara bara mkuu wa wilaya ya tunduru Bw. Chande Bakary Nalicho ambaye pia alikwama njiani ameweza kukwama kwa
saa kadhaa ambapo amesema kuwa hali hiyo imejitokeza kutokana na
mvua kunyesha na
kuharibu miundombinu ya Barabara
.
Kwa upande wa msimamizi
wa mradi wa matengenezo ya barabaraya NAMTUMBO-TUNDURU Bw. Steven Byabato baada ya kuulizwa
amekiri kuwempo khuko kwa ukiritimba wa miundombinu ila akasema kuwa kinachofanyika sasa ni kuweza kuhakikisha
kwamba njia inapitika kwa urahisi hasa
katika kipindi hiki cha matangenezo.
Hata hivyo
wakandarasi wa kichina wanaotengeneza barabara
hiyo waliliondoa kwa kijiko au Staveta Lori
lililokwama eneo la masonya
baada ya mkuu wa wilaya naye kukwama eneo hilo.
0 comments:
Post a Comment