Wakitangaza kufunga kwa zoezi hilo uongozi wa mkoa
kusini pemba kamanda wa polisi mkoa kusini pemba Juma Yusufu ali na mkuu wa
mkoa huo Bimwana Juma Majid Abdalla walio kuweko eneo la tukio likoni wesha
wamesema kazi ya uokozi ilikwenda kwa kasi na kufanikiwa kupata mtu moja akiwa
amekwisha fariki huko bandarini mkumbuu .
Wamemtaja alie patikana kuwa ni Ali Mbarouk Salehe
55 mkazi wa mitamani chake chake na waleambao bado hawaja onekana kuwa ni
Rashid Zahor na Omar Najimu Kibete wwote wakaazi wa mkoroshoni.
Akizungungumzia tukio hilo moja wa manusura wa
ajalio hio alie kuwemo ndani ya boti hio Ahmed Nasor 52 amesema
jitihada za kutaka kuwaokoa wenzao hao ilifanyika ilakwavile hakukua na chombo
karibu ndio ilio pelekea wenzao hao kupotea nae moja wa waokozi amesema
wamefanikiwa kupata vifa walivyo kuwa navyo watuhao baada ya kuzamia katika
boti yao ambayo ipo chini ya bahari nawalipo ikagua hakuna mtu hata moja.
Jitihada kubwa za kuwatafuta ilifanyika katika
mwambao wa bahari ya eneo la pemba chanal walipo zama watu hao kwa kutumia boti
ngalawa watembea kwa miguu kwenye mikoko na ndenge aina ya chata ambayo
imezunguhadi mwambao wa tanga.
0 comments:
Post a Comment