Mh simbachawene amesema ameamua kuchukua
umauzi huo baada ya yeye kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa Tazara,Tabata
Magengeni, na Temeke kuwapigia simu waandisi hao juu ya kero ya kuanguka kwa nguzo
ambazo zinatishia uhai wa wananchi na kuambulia majibu ya kebehi na dharau kana
kambwa watumishi hao sio serikali na sio wajibu wao wa kazi jambo ambalo amedai
limesikitisha sana hivyo akiwa na wajumbe wa bidi ya Tanesco ameamua kuchukua
aumuzi wa kuwasimimisha kazi na kufanya operesheni yeye mwenyewe ya kukagua
magari ya imeegency ambayo yanaegeshwa Bar.
Wakati huo huo waziri huyo wa nishati na madini
ametoa ufafanuzi juu ya Tanesco kuvunja mkataba na Kampuni ya SELCOM na kukiri
kuwa kitendo hicho kimesababisha adha ya upatikanaji wa huduma ya umeme
Kwa wananchi na tatizo hilo kwa sasa
limeshatatuliwa baada ya TANESCO kuweka mambo sawa na makampuni mbalimbali
ambayo yamekuwa yakitoa huduma ya mauzo ya umeme kwa njia ya mitandao ya simu
na kudai huduma ya kununua umeme kwa sasa imesharejea kama kawaida katika
mitandao ya simu.
0 comments:
Post a Comment