Hali hiyo ilijitokeza muda mfupi baada Gavana Kumaliza
kuwasilisha ripoti ya kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola ambapo
amesema uwepo wa mambo mlundikano serikalini
ikiwemo uandikishaji wa wananchi
katika utaratibu wa upigaji kura ujulikanao kama BVR ,ulipaji wa madeni ya TANESCO
na ununuzi wa vichwa vipya vya kampuni ya reli TANZANIA TRL vimechangia hali
hiyo.
Kufuatia kauli hiyo ya Gavana hapo ndipo gavana
profesa beno ndullu alipotoa suluhu ya tatizo hilo la kushuka kwa thamani ya
dola dhidi ya shilingi ya Tanzania.
0 comments:
Post a Comment