Akisoma hotuba ya
kambi rasmi ya upinzani katika wizara ya uchukuzi
Mh.Moses Machali amesema mabehewa hayo yamelamikiwa kwa kipindi
kirefu lakini serikali imeendelea kuwa bubu.
Wakichangia Bajeti hiyo
baadhi ya wabunge wamesema siyo sahihi kila Mwaka serikali inatenga fedha kwa
ajili ya kutekeleza miradimbalimbali lakini haipeleki fedha hatua
ambayo inarudisha nyuma maendeleo.
Kamati ya kutatua migogoro na
kupambamana na ajali ambayo ipo Bungeni imesema zimekuwepo ni za dhati za kukabiliana
na ajali ila kuna haja ya kuboreshwa zaidi kwa mipango iliyopo.
Awali akiwasilia Bajeti ya
wizara yake Mh.Samweli Sitta amesema wizara yake inamikakati
mbalimbali ya kuboresha sekta ya usafiri nchini ikiwemo kufufua
sekta ya anga na reli ili kuhakisha maeneo yote yanafikika.
0 comments:
Post a Comment