Leo ni kumbukumbu ya kifo cha msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva kutoka Tanzania Marehemu Albert Mangwea A.K.A (KAOBAMA) kifo chake kilichotokea tarehe 28/05/2013 huko South Africa.
Kwa hapa tanzania Vituo vya
Radio na vimeonyesha uzalendo wa hali ya juu katika kumkumbuka Mkali wa Free
Stylee aliyekuwa na kipaji cha pekee kwa kupiga nyimbo zake ambazo ameziacha.
Kupitia moja ya radio walidai
kuwa kuna zaidi ya ngoma takribani 50 za ngwea zilizoko studio tofauti tofauti
ambazo zikifanyiwa utaratibu zinaweza kutengenezewa Album na kuwa kumbu kumbu
nzuri zaidi.
Mitandao ya kijamii mingi
ime
pambwa na picha na makala mbali mbali zinazo muhusu marehemu Ngwea na mchango ambao amefanya kwenye sanaa na historia ambayo ni ngumu kusahaulika.
pambwa na picha na makala mbali mbali zinazo muhusu marehemu Ngwea na mchango ambao amefanya kwenye sanaa na historia ambayo ni ngumu kusahaulika.
Kututoka kwa marehemu ngwea
yapata Miongo(Miaka) miwili hadi hivi sas
Tambarare Halisi na jo[po
lake zima Daima tutakukumbuka lala pema panapo stahili Marehemu ngwea.
0 comments:
Post a Comment