Ujumbe wa Mhe. Bernard K.
Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
wakifuatilia mazungumzo hayo kabla ya kupata chakula cha mchana kilichoandaliwa
na Waziri Membe kwa heshima ya mgeni wake.
Waziriwa Mambo yaNjenaUshirikianowaKimataifa, Mhe.
Bernard K. Membe (Mb.), leo amekutananakufanyamazungumzonaWaziriwa Mambo yaNjewa
Burundi, Mhe. Laurent Kavakurejijini Dar es Salaam katikaHoteliya Hyatt Regency,
Kilimanjaro. Mhe. Kavakure.
Wakatihuohuo, Mhe.MembeataongozaujumbewaMawaziriwa
Mambo yaNjewanchizaJumuiyayaAfrikaMasharikikwenda Burundi sikuyaJumatanotarehe
06 Mei 2015 kufanyamazungumzonaSerikaliya Burundi
kuhusuhaliyakisiasainayoendeleanchinihumo.
-Mwisho-
Imetolewana:
Wizaraya Mambo yaNjenaUshirikianowaKimataifa,
Dar es Salaam
04 Mei 2015
0 comments:
Post a Comment