Mvua
zilizonyesha mfululizo katika jiji la Dar es Salaam zimesasabisha madhara mbalimbali vikiwemo Vifo,watu kukosa makazi na baadhi ya watu mpaka sasa kuamua kuendelea kubaki katika madari ya nyumba
Zao wakilinda baadhi ya vitu vyao
walivyofanikiwa kuviokoa ili visiibiwe.
Baadhai ya maeneo ya maeneo mbali mbali ya
jiji hali bado siyo shwari huku baadhi
yaoa wakitumia Mitumbwi ya friji kuwapelekea vyakula na mahitaji muihimu watu
ambao wameamua kubi katika dari za
Nyumba zao.
Aidha maeneo mengi kama mtaa wa magomeni
suna baadhi ya watu walionekana
kuweka kujisitiri katika makambi ya muda
katika vibaraza vya nyumba ambazo hazija
athirika sana wakisubiri kupatiwa
misaada
Ya vyakula.
Baadhi ya waathirika hao wamesema wapo tayari kuhama katika makazi ya
bondeni ila waliahidiwa kupewa viwanja na serikali lakini hadi sasa ahadi hiyo
imeota mbawa.
Baadhi ya viongozi walitembelea maeneo
yaliyoathirika na kuijonea hali ilivyo ambapo mh Iddy Azzan mbubnge wa Kinondoni alitembelea maeneo
yaliyoahirika na kutoa misaada ya
vyakula huku akiwataka wahame mabondeni kwani ni hatari kwao.
0 comments:
Post a Comment