Image
Image

News Alert:Mamlaka ya hali ya hewa yakanusha taarifa zilizo sambaa za kutokea Tsunami*Yaonya mitandao yakijamii kuzusha taarifa za uongo.


Mamlaka ya hali ya hewa imekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa  kutakuwepo na Tsunami kuanzia saa moja hadi saa tatu usiku huu  kuwa sio za kweli.
Taarifa za mamlaka hiyo kwa vyombo vya habari imeonya mitandao ya kijamii kuacha kusabaza hofu na uongo kwa jamii .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment