Miezi kadhaa iliyopita maelfu ya wahamiaji haramu
walitua katika pwani ya mwambao wa bahari ya Indonesia,Malaysia na Thailand.
Hata hivyo wengi wa wahamiaji hao walijikuta wakizama baharini huko nchini
Thailand mapema mwezi huu.
Awali Myanmar ilikataa mwaliko huo lakini safari hii
imeamua kutuma ujumbe kushiriki mkutano huo. Wahamiaji walio wengi ni wa
madhehebu ya Rohingya wanaokimbia mateso na umasikini katika nchi zao ikiwemo
Myanmar na Bangladesh.
0 comments:
Post a Comment