Ndugu Edward Ngoyai Lowassa anatarajia kutangaza nia
ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi ili aweze kuteuliwa kugombea urais wa
awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzani.Katika
uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha ni jumamosi ya leo ya tarehe 30.
Hii ni
historia muhimu katika Nchi Yetu.
0 comments:
Post a Comment