Kamati hiyo ambayo inalazimika kukaa kwa siku mbili
mfululizo kinyume na ratiba iliyotolewa awali ya siku moja kinatoa ushauri huo
baada ya kupitia hoja mbalimbali ambapo pamoja na mambo mengine imebaini zoezi
la upigaji kura ya maoni ya katiba mpya linakbiliwa na changamoto lukuki
zikiwemo kasi ndogo ya uandikishaji wa daftari la kudumu.

Changamoto zingine zilizobainishwa kuikabili kura hiyo ni pamoja na matakwa ya kisheria ambayo yanaelekeza zoezi hilo liende pamoja na utoaji wa elimu kwa wananchi kwa siku 60 siku 30 za kampeni na baada ya hapo ndipo ipegwe kura ya maoni ambapo tathmini inaonyesha hakutakuwepo na muda wa kutosha kabla ya tarehe 25 October inayotajwa kuwa ndio tarehe rasmi ya uchaguzi mkuu.
Katika hatua nyingine wakati macho na masikio ya
watanzania yakielekezwa hapa Dodoma katika vikao vya juu vya CCM vinavyotajwa
kuwa dira ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu.



0 comments:
Post a Comment