Mkuu wa Msafara wa Watanzania
waliorejea Nchini Tanzania Bwana Said Khamis Juma akizungumza na waandishi wa
Habari mara baada ya kuwasili nchini.
Kundilingine la
jumlayawatanzania 53 limerejeshwanchinileoasubuhikutoka Yemen, kukimbia vita
yawenyewekwawenyeweinayoendeleanchinihumo. Raia 39
wamerejeshwanaserikalikupitiaubalozi wake Muscat, Oman wakati 14
waliosaliawamerejeshwakwamsaadawashirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM), kupitia
Jeddah, Saudi Arabia.
Watanzaniahaowaliwasilinandegeyashirika
la Ndege la Qatar nakupokelewakwenyeuwanjawandegewakimataifawa Julius
nyererenamaafisawawizaraya Mambo yanjenaushirikianowakimataifa, wakiongozwanabw.
Elibarikimaleko, kaimumkurugenziwamasharikiya Kati.
Kuwasilikwawatanzaniahaokunafanyaidadiyawatanzaniawaliorejeakutoka Yemen
hadisasakufikia 71. Kundi la kwanza la watu 18 liwasilitarehe 21 Aprili.
Kiongoziwakundilililowasilileo,
Bw. Said khamisjuma, alimshukurumhe. Raisjakayakikwete, Waziriwa Mambo
yanjenaushirikianowakimataifa, Mhe. Bernard membenabaloziwa Tanzania, Muscat,
Mhe.alisaleh, kwamsaadawaliowapatianakuwawezeshakurudinyumbanisalama.
"tumepatamsaadamkubwasanakutokawizaraya
Mambo yanjekupitiaubaloziwetu Muscat.
Tunaishukurusanaserikalikutuwezeshakurejeanyumbanisalama," alisemabw.
Said.
Ubaloziwa Tanzania Muscat
unafuatiliahabarizawatanzaniawaishio Yemen
ilikujuakamakunawenginewanaohitajimsaadawakurejeanyumbani.
Wizaraya Mambo yanjenaushirikianowakimataifainasisitizawito
wake kwawatanzaniawanaoishinjeyanchikujitambulishakwenyeubaloziwa Tanzania
uliokaribunaoilikurahisishauratibuwamsaadakwaraiahaoitokeapodharura.
Imetolewa Na Kitengo Cha
mawasilianoyaserikali, Wizaraya Mambo yanjenaushirikianowakimataifa.
Tarehe 06 Mei 2
0 comments:
Post a Comment