Image
Image

News Alert: NEC yasema ipo imara katika uandikishaji wapiga kura kwa kutumia mashine za BVR kwa kila mkoa hapa nchini.


Tume ya  Taifa  ya  Uchaguzi imesema  matatizo yaliyojitokeza    ya  matumizi ya  mashine  za  BVR,  haya tajirudia kutokana na maandalizi ya vitendea kazi katika kila mkoa hapa nchini kukamilika .
Hayo yamebainishwa na Afisa wa tume  hiyo  kitengo cha Uchambuzi wa Mifumo ya  Kompyuta,   Bw ana  MARTNI MNYENYELWA, katika mafunzo ya awali kwa Maafisa Waandikishaji, na wasaidizi wao,Maafisa Uchaguzi na wasaidizi wao, Mkoani Tabora .
Amesema  matatizo ya   awali  ya ilisababishwa na vifaa na sasa tume imejiandaa ipasavyo.
Akifungua semina hiyo elekezi ya jinsi ya kutumia  mashine za   BVR,Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Tabora ,  Bw ana   RONGONO KAZIMOTO amesema, ili kufanikisha zoezi hilo viongo zi wa ngazi zote kuanzia mkoa hadi  vijiji hawana budi kushiriki katika kuihamasisha jamii ili wajitokeze katika uandikishaji m u da utakapofika .
Kwa mujibu wa Bw ana  KAZIMOTO, Mkoa wa Tabora  wenye wakazi i zaidi ya Milioni Mbili na  Laki- Mbi li  kutokana na sensa ya mwaka 2012, ina vituo vya kuandikisha 1, 523, ambapo inatarajia kuandikisha wananchi wenye sifa za kupiga kura  Milioni 1,  Laki- 1 , Elfu-24 na  167.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment