Mwenyekiti huyo anatoa angalizo hilo wakati akifungua mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM {NEC} ambapo ameonya endapo viongozi wa chama hicho watapitisha majina ya wagombea kwa utashi wao na kusahau kuwa nguvu kubwa ya ushindi iko kwa wananchi ambao ndio wengi chama hicho kisitarajie kuibuka na ushindi mkubwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
News Alert: Rais Kikwete awaasa viongozi wa CCM kuweka tofauti zao pembeni na kupitisha majina ya wagombea wenye sifa.
Mwenyekiti wa chama
cha mapinduzi Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa CCM kuweka
tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanapitisha majina ya wagombea wenye sifa na
wanaokubalika na wananchi kwenye uchaguzi mkuu ujao ili kukiwezesha chama hicho
kushinda kwa kishindo.
Mwenyekiti huyo anatoa angalizo hilo wakati akifungua mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM {NEC} ambapo ameonya endapo viongozi wa chama hicho watapitisha majina ya wagombea kwa utashi wao na kusahau kuwa nguvu kubwa ya ushindi iko kwa wananchi ambao ndio wengi chama hicho kisitarajie kuibuka na ushindi mkubwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Mwenyekiti huyo anatoa angalizo hilo wakati akifungua mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM {NEC} ambapo ameonya endapo viongozi wa chama hicho watapitisha majina ya wagombea kwa utashi wao na kusahau kuwa nguvu kubwa ya ushindi iko kwa wananchi ambao ndio wengi chama hicho kisitarajie kuibuka na ushindi mkubwa kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

0 comments:
Post a Comment