Image
Image

Watu wapatao 42 wameuawa nchini Mexico katika mapigano kati ya majeshi ya usalama ya nchi hiyo.


Watu wapatao 42 wameuawa nchini  Mexico katika mapigano kati ya majeshi ya usalama ya nchi hiyo na kundi  watu ambao wanajihusisha na uuzaji wa dawa za kulevya.
Mapigano hayo yametokea Tanhuato, jimbo la Michoacan karibu na mpaka wa jimbo la Jalisco na polisi mmoja aliuawa kitendo kilichoamsha ari kwa wapiganaji wa serikali .
Kamishna wa usalama wa taifa nchini humo  Bwana Monte Alejandro Rubido amesema katika mapigano hayo  yaliyochukua saa tatu idadi kubwa ya silaha pia zilikamatwa zikiwemo bunduki 30 za aina ya 'RIFLE'.
Kwa miaka kadhaa sasa serikali ya  Mexico imekuwa ikipambana na makundi ya wauzaji wa dawa za kulevya ambao wamejizatiti na kuwa na silaha kama ambazo serikali inazimiliki.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment