Image
Image

News Alert:Msaka Noti Manoti Awashukuru wadau na Watu mbali mbali katika Siku yake ya kuzaliwa*Awatia Moyo vijana wanaokumbana na changamoto za ajira nchini.



Ikiwa leo 15/05/2015 ni siku yangu ya kumbu kumbu ya kuzaliwa na washukuru wadau na watu mbali mbali ambao mmeonesha uzalendo kwa kuungana name na hata kukutoa michango mbali mbali ya kimaisha na kwa kuwa wakwanza kutembelea Tambarare Halisi Kila mara ili kupata yale yanayo jiri katika ulimwengu.

Kwahatua hiyo inanipa nguvu zaidi ya kuendelea kuwapasha habari na hivyo nimatumaini yangu kwamba tupo pamoja kabisa katika hili ambapo maoni mbali mbali mmekuwa mkitoa na hivyo kufaniwa kazi kwa wakati.

Wapo wengi ambao wamekuwa wadau wakubwa T.I.Fm Radio,SBM Broadcasting Magazine $SBM Fm radio,TV,Zanz news, Handeni Kwetu,Michuzi,Milard ayo,Full Shangwe,24Blogs,Luccy Patric.Blogspot.com,ITV Tanzania Tz,Kakunda BlogNk.Niwatu ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa washirika wazuri hasa katika kupashana habari kupitia sehemu mbali mbali.

Wito wangu nikwamba vijana ninguvu kazi ya taifa hivyo hakuna budi kujikwamua kiuchumi ili kuweza kuletea taifa maendeleo bila kukata tama.

“Katika maisha hapakuwa na aliyefika kwa siku moja hapana vikwazo na changamoto imekuwa sehemu ya maisha so tunapo pitia vikwazo hakika lazima akili ipanuke na kukaa imara ili kufanya ukitakacho,usiogopeshwe na mtu kila mtu kapangiwa lake naamini kwa juhudi wewe na mimi tunaweza”.

Uthubutu katika maisha ninguzo ya msingi sanaa ninayo iamini tusisite kwa wale ambao bhado kujaribu sehemu yeyote kubata kazi,tunajua ajira inaugumu fla kwakuwa imeingiliwa na urasimu wa matabaka kadhaa,ila kupitia hapo ndipo kipimo cha akili.

Hakuna kazi ndogo kamwe kila kazi ina maana yake huwezi kufika juu bila kuanzia chini,maisha sawa na mtoto mchanga tambaa,shika ukuta mdogo mdogo unaanza tembea ndio utakapo ona raha yake,usitishwe na waongea mbovu yaani wakatishaji tama hao wapo hivi unadhani kuna anayependa uendelee kimaisha ili hali yeye bado yupo pale pale,isitoshe pengine ndio umetoka kuchukua ha digree flani hivi ama cheti safii,ama una uwezo mzuri hapana chamsingi tengeneza Network kwa watu mbali mbali usimdharau mkubwa wala mdogo katika maisha huwezi jua atakaye kutoa kimaso maso.

Pongezi kwa mlioweza kufanikisha hadi nikafika hapa nilipo nawatakieni mema maisha nay awe marefu kwenu,natamani kuwataja nani na nani ila niwengi na wanaelewa kwamba ushirikiano wao ndio umefanya hivi,Na wapo wanao endelea kunitumia ujumbe mfupi wa maandishi(SMS)Kupitia Faceebook,WatsApp,Instagram,Vime,Imo,Nk.Nimeweza kupokea zaidi ya SMS 400 hadi satano mchana nab ado zinaendelea nifaraja ya aina yake yani,wanao piga nao walipiga tukaenda sawa.

Msaka Noti Manoti – Muasisi wa Noti Barani Afrika(Pchani) hapo wakati alipokuwa akijibu na kuchati na watu mbali mbali kwenye siku yake yaleo ya kuzaliwa May 15/2015.
Namalizia hivi mwenyezi mungu anampenda kila mmoja kwa kuwa yeye ndiye muumbaji sasa usogope ubaguzi ambao tunabaguana sisi wenyewe amini mungu ni muweza kwa yote.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment