Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa
polisi mkoa kusini Pemba kamishina msaidizi Juma Yusufu Ali ametaja ndege
ilio kumbwa na tukio hilo kuwa ni AIR SALAMU N0 5H
–HAD iliokua ikitokea unguja.
Amesema katika tukio hilo abiria
mmoja Mohamed Zahoro Yahaya 21 mkazi wa kichungwani chake chake amepata
mshituko na amelazwa katika hospitali ya chake chake.
Dr. wa zamu wa Hospitali ya chake chake Khamisi Masod
amesema hali ya abiria huyo wanaendelea na matibabu jamaa wa mjaruhiwa
huyo Suleiman Yahaya Suleiman amesema hali ya nduguyake inaendelea vizuri huku
akiwa anaendelea na matibabu.
0 comments:
Post a Comment