Akizungum za katika
makabidhiano ya magar i hayo
yaliyotolewa na Care Canada, chini ya Mradi wa Tabasamu,ambao umekuwa
ukishirikiana na Serikali ya Mkoa wa Tabora katika kuihamasisha jamii juuu ya
kupunguza vifo vya akinamama na watoto,Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Dakta
GUNINI KAMBA amesema,mkoa
una tatizo la usafiri kwa akinamama na kwamba magari hayo yatasaidia ku l ipunguza.
Akikabid hi magar i hayo yenye
thamani ya Shilingi Milioni 479, Mkurugenzi wa Care Canada , Bibi ROZE MARY FORBES amesema, kwa m u da
waliofanya kazi ya huduma za akinamama na watoto Mkoani Tabora,usafiri ni tatizo
inayoukabili Mkoa wa Tabora .
0 comments:
Post a Comment