Badala yake wametakiwa watumie muda huo kutangaza sera za vyama vyao
ili kuepuka viashiria vya uvunjifu wa amani katika maeneo mbali mbali wilayani
humo.
Akizungumza katika kongamno la viongozi wa dini, siasa
na viongozi wa makundi ya kimila, Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
, HAFSA MTASIWA amesema mbali na wanasiasa pia amepiga marufuku wananchi
kuwachangia fedha makundi ya watu wanaodai kuwa wanatoa wachawi wanaojulikana
kwa jina la ''Lamba Lamba'' ambao wamekuwa wakivunja amani miongoni mwa jamii .
Kwa upande wake She ikh wa Wilaya ya Korogwe ,
Alhaji ALLY ZUBEIR amewataka maimam
u wa misikiti yote
wilayani humo kuhakikisha
wanawaeleimisha waumini wao kuhusu hali ya amani na utulivu na kuachana na
mambo ya siasa katika nyumba za ibada hatua ambayo imekuwa na viashiria vya
mgawanyiko baina yao.


0 comments:
Post a Comment