Akizungumza katika
uzinduzi wa programu maalumu ya miaka minne iliyofanyika wilayani masasi kata
ya namatutwe kaimu mganga mkuu wa mkoa Mohamed Kodi amesema wilaya ya masasi
inaongoza kwa ugonjwa huo ambao husababishwa na uchafu.
Kwa upande wake
Dokta Eduward Kilumbi mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka
wizara ya afya anaeleza ukubwa wa tatizo hilo.
Programu hiyo
imefadhiliwa na nchi ya uingereza kwa kushirikiana na shirila la ima WORLD
HELDH NA HELLEN KELLER INTERNATIONAL.


0 comments:
Post a Comment