Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa tume hiyo Mh.Jaji Mstaafu Damiani
Lubuva katika mkutano uliowahusisha viongozi wa vyama vya siasa
wenye lengo la kuwajulisgha kuhusu mpango huo wa kuyagawa majimbo ya uchaguzi.
Kwa upand wake mkurugenzi wa tume
Julias Malaba amesem katika uyagaw majimbo hayo vipo vighezo vinavyotumia ikiweko idadai ya
watu na upatikanaji wa mawasiliano
katika eneo huska lengo likiwa ni kuhakaiakish wanchi wa eneo huska wananufaika.
Baadhi
ya viongozi wa vyama
waliokuwepo katika mkutano huo
wameonyesha wasiwasi wa
kama zoezi hilo litaweza kukamilika
kwa wakati kutokana na muda uliobaki
na kuwa tume hiyo bado ina
mambo mengi makubwa inashughulikia likiwemo
uandikishaji katika Daftari la
wapiga kura.
0 comments:
Post a Comment