Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofis i ya Waziri Mkuuu ,Sera na Uratibu
wa Bunge
JENISTA MHAGAMA alipokuwa akijibu
swali la Mbunge
ASSUMPTER MSHAMA aliyetaka
kujua serikali inapoteza kitu gani
kama itapanga kupiga
kura katika uchaguzi
mkuu kufanyika siku za
kawaida za kazi .
A MESEMA
kwa mujibu wa Ibara
ya 74 ya katibaa
kifungu kidogo cha 6 mpaka 15
Tume ya Taifa ya
Uc haguzi imepewa madaraka ya
kuratibu na kusimamia uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi
ili kuwezesha uchaguzi
kufanyika kwa mujibu wa katiba
ya nchi.
Waziri
MHAGAMA ameliambia Bunge kuwa
Tume ya Taif ya Uchaguzi kwa
mamlaka iliyopewa kikatiba inaweza ikaona
kama ni busara ama
itafaa kufanya uchaguzi
katikati ya siku za wiki kwani uchaguzi ni tendo la kikatiba na matarajio
ni kuiweka serikali iliyochaguliw a kwa
msingi wa haki na sheria .


0 comments:
Post a Comment