Kutokana na hali halisi ilivyo maafisa wanasema
idadi ya watu waliokufa
kutokana na janga hilo huenda ikaongezeka.Lakini meya wa eneo hilo amesema hawatarajii
kuongezeka kwa idadi kubwa ya watu waliokufa kwani miili iliyopatikana
inalingana idadi ya watu waliokuwa hawajaonekana.
Wengi wa waathirika inasadikiwa walikufa kwa kuvuta
hewa nzito ya moshi wa mipira iliyokuwa inawaka na kemikali.






0 comments:
Post a Comment