Image
Image

News Alert:Waziri mkuu wa zamani wa Israel ahukumiwa kifungo cha miaka sita kwa kupokea fedha kutoka kwa mfuasi wake.


Waziri mkuu wa zamani wa Israeli Bwana Ehud Olmert amehukumiwa kifungo cha miezi minane jela kwa  kupatikana na hatia ya ubadhirifu na kukosa uaminifu.

Waziri mkuu aliyekuwa madarakani tangu mwaka 2006 hadi mwaka 2009 amepatikana na hatia ya kupokea fedha kutoka kwa mfuasi  wake mmoja ambaye ni raia  wa marekani wakati wa kusikilizwa kwa kesi yake ya awali mwezi machi mwaka huu,kitu ambacho ni kinyume na katiba yao.

Adhabu hiyo ni mbali na kifungo kingine cha mwaka jana ambapo alihukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka sita kesi ya rushwa na tayari amekata rufaa kupinga hukumu hiyo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment