Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Marubani na Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Tassili la Algeria baada ya kuwsili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini Algeria.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12,
2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
Algeria.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi
alipowasili kutoka Algeria katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12,
2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
Algeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es salam Suleiman Kova,
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi, Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.
Sophia Mjema na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Paul Makonda alipowasili
kutoka Algeria katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12, 2015 baada ya
kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini Algeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipanda ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Houari Boumediene
jijini Algiers Jumatatu May 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya
siku tatu nchini humo.
0 comments:
Post a Comment