Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha
Wananchi - CUF -Profesa IBRAHIMU LIPUMBA
wilayani nzega mkoa ni Tabora, alipokuwa
akiwahutubia wananchi kati ka viwanja
vya maegesho ya magar i ya mizigo Mjini Nzega .
Amesema tatizo la ajira l itatatuliwa pale matumizi
bora ya rasilimali zilizopo zita tumika ipasavyo.
Mwenyekiti huyo wa CUF a mbaye yupo ziara ni
Mkoani Tabora kuwahamasisha
wananchi kujiandikisha katika Daftari la kudumu
la wapigakura.

0 comments:
Post a Comment