Hayo
yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Mawakili wa
Afrika,Bwana DONALD DEA ,alipokuwa akizungumzia hatua ya
raia wawili wa
Kenya na mmoja wa Tanzania kuvifikisha vyombo
vya dola vya Tanzania kwenye Mahakama ya
Afrika vikilalamikiwa kwa ukiukaji
wa haki za binadamu .
Bwana
DEA amesema kimsingi
wananchi wa kawaida
wanaofikisha mashauri yao
mahakamani ambayo adhabu ya jambo linalolalamikiwa inazidi kifungo cha
miaka 20 wanahitaji
kupata msada wa sheria.
Rais wa mahakama
hiyo , Jaji AGUSTONO RAMADHAN
amesema pamoja na
mahakama hiyo kuanza
kuwa kimbilio la
watu wanaoona kuwa
haki zao zimekiukwa,inakabiliwa na matatizo mengi ikiwemo ya uhaba wa fedha .


0 comments:
Post a Comment