Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto
UNICEF limesema asilimia 85 ya wakimbizi wanaoingia Tanzania ni wanawake na
watoto na tayari wamebaini 1,000 ambao wamekimbia bila kusindikizwa na mtu
wewote hivyo limnaanisha changamoto wanazikumbana na watoto hao ikiwamo
utapiamlo.
Katika mahojiano na mtaalamu wa lishe wa UNICEF
kutoka Tanzania Elisabeth Macha amesema licha ya kwamba idadi ya waliogundulika
kuwa na utapiamlo si kubwa kati ya 9000 waliopimwa hadi sasa .
Amesema vipimo na huduma nyinginezo kwa sasa
zinafanyika katika kambi ya Nyarugusu nakuongeza kuwa usajili wa wakimbizi
utakapokamilika kwa wakimbizi wengine huduma hizo zitafanyika pia.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment