Wengi waliokufa kwa joto wako majimbo ya kusin i ya
Pelangana na Andra Pradesh ambako watu
1,118 wamekufa tangu wiki iliyopita.
Watu wengine wapatao 24 wamekufa kwa joto maji mbo
ya West Bengal na Orissa na inasemekana
nyuzijoto zilikuwa zinaelekea kupungua k wa baadhi ya maeneo katika siku chache zijazo.
Hospitali ziko katika hali ya tahadhari kutibu wagonjwa waliozimia kwa joto na wakuu wameshauri watu kukaa nyumbani na
kunywa maji mengi na vinywaji vingine
hasa vya matunda.


0 comments:
Post a Comment