Image
Image

Waziri mkuu Libya Abdullah Al-Thinni anusurika kuuawa baada ya msafara wake kushambuliwa.


Waziri mkuu wa libya Abdullah Al-Thinni amenurika kifo baada ya msafara wake kushambuliwa na watu wenye silaha ambao inadaiwa lengo lao lilikuwa ni kumuua.
Waziri mkuu huyo amekutana na jaribio hilo la kumuua  wakati yeye na msafara wake wakitokea katika mkutano wa bunge kwenye mji wa Tobruk.
Waziri mkuu -Al Thinni anatambulika na jumuiya za kimataifa kama kiongozi halali wa libya ingawa anaongoza baadhi ya maeneo katika nchi hiyo.
Hali hiyo inatokana na mji mkuu nchi hiyo kuwa chini ya usimamizi wa wapiganaji wa jihadi ambao wanadaia na wao wanaongoza serikali iitwayo serikali mbadala.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment