Image
Image

WFP:Tani 50,000 za msaada wa chakula kutoka Marekani zimewasili Sudan.


Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa  limesema karibu tani 50,000 za  msaada wa chakula kutoka Marekani zimewasili Sudan kusaidia yaliyoathirika na  mgogoro wa nchi hiyo.
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP lime sema meli yenye shehena hiyo ya  chakula imetia nanga bandari ya Port Sudan na  sehemu kubwa ya shehena hiyo ni  mtama ambacho ni chakula kikubwa cha watu wa Sudan.
Taarifa zinasema kutokabandari ya Port Sudan chakula  hicho kitasafrishwa shirika la  mpango wa chakula duniani kwenda nchi nzima hasa Jim bo la Darfur magharibi mwa nchi  hiyo.
Rais OMAR al-BASHIR amekuwa anapambana na waasi kwe nye Jimbo la Darfur tangu mwaka  2003 na majimbo ya Blue Nile na Kordofan Kusini tang u mwaka 2011 baada ya kujitenga  na Sudan Kusini.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment