Vyombo vya habari vimesema shambulio hilo limetok ea
wakati watu hao wenye silaha walipovamia
msafara wa polisi karibu na mpaka wa Somalia na likiwa shambulio la
tatu la hivi karibuni.
Shambulio hilo lilitokea kwenye kijiji cha Yumbis,Kilomita 70 Kaskazini ya mji
wa Garisa na magari manne ya polisi kuchomwa moto wakati yakienda
kuokoa wenzao wakati gari lao
liliposhabuliwa kwa bomu lililokuwa limetegwa barabarani.
Wiki iliyopita watu wenye silaha wa al–Shabaab walishambulia kijiji hicho cha Yumbis na kupeperusha kwa muda bendera yao k
wenye msikiti waliposwali kabla ya
kwenda kijiji kingine cha karibu.
Kikundi cha al–Shabaab ambacho katika m iaka ya hivi
karibuni kimefanya mashambulio kadhaa
kuilazimisha Kenya kuondoa majeshi yake
huko Somalia mwezi uliopita
kilishambulia Chuo Kikuu cha Garisa na
kuua watu wapatao 150 wengi wao
wanafunzi.


0 comments:
Post a Comment