WASANII wa muziki wa kizazi kipya
nchini, Elias Barnaba, Rich Mavoko, Golden Mbunda ‘Godzilla’ na Boniventura
Kabobo ‘Stamina’, juzi walipagawisha katika tamasha la pongezi kwa Mbunge wa
Jimbo wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri.
Katika hotuba yake, Abood aliahidi kuunganisha wasanii wa kizazi kipya ili
watumie sanaa yao kutoa burudani na elimu kwa mashabiki wao.
Abood aliongeza kwamba, tukio hilo limempa faraja kwa kutambulika juhudi zake
kwa jamii anayoiongoza.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment